VINNY ROSTER : NITATOWA ZAWADI NONO KWA MSANII B BRIGHT NA LEBO YAKE NIKIRUDI NYUMBANI.

Kweli kabisa hatuwa na mapenzi baina ya wasanii imeanza kujitokeza katika game ya Muziki wa nyumbani.

Mwana muziki wakizazi kipya anaye ishi inchini AFRICA KUSINI "South African" mwenye Asili ya Burundi  Kwajina VINNY ROSTER hiyi jana Katamka maneno kwenye Mike zetu ambayo yaliwashangaza wengi haswaa mashabiki wa Muziki wa nyumbani.

VINNY ROSTER Akizungumza na Classic Media, alitueleza kwamba yupo radhi na Anakubali kuitowa zawadi maalumu kwa kijana B BRIGTH Na LEBO YAKE YA ZENGES.

" Mimi ni mwana muziki wakizazi kipya nanina mnyaka flani hivi inchini Afica Kusini na kiukweli nafwatiliya Muziki wanyumbani saana , sasa nimeona kwakweli msanii Huyu , kijana mdogo ila anayafanya mambo makubwa mno katika game B bright na Lebo yake ya Zenges Nimeamuwa kukubali kuitowa zawadi yangu na roho mooja kuweza kumsapoti msanii huyu nikirudi nyumbani mwezi wa 12 mwaka huu"

Alisema VINNY ROSTER

Na aliendeleya kusema kuwa sikwahuyo tu, nitaendeleye kuzitowa zawadi kwa kila msanii ambaye naona kweli anafanya kazi , napenda saaana Muziki wake mpya Wa WHY by B BRIGHT.

Alisema VINNY.

Wasiliyana na VINNY ROSTER :

Facebook : VINNY ROSTER
Instagram : @VINNY ROSTER
Twiter        : @VINNY ROSTER

No comments