Manchester City yapanda hadi nafasi ya 3 baada ya ushindi.

Klabu ya Manchester City imepanda hadi nafasi ya tatu
katika jedwali la ligi ya Uingereza baada ya kuishinda
Leicester City.
Hathivyo City walinusurika baada ya refa Bobby Madley
kukataa bao la penalti lililofungwa na Riyad Mahrez
ambaye alikuwa ameangushwa na Gael Clichy.
Mahrez alikuwa na fursa ya kufanya mabo kuwa 2-2 lakini
akateleza alipopiga mkwaju huo na kuugusa mpira na
mguu wake wa kulia baada ya kuupiga na mguu wake wa
kushoto.
Mpira ulikuwa tayari umeingia wavuni pale refa alipokataa
ba hilo na kuipatia Manchester City mpira wa adhabu
kuekekezwa lango la Leicester hatua iliowapatia afueni
Mkufunzi Guardiola na wachezaji wake..
Citu walitawala kipindi kirefu cha mchezo katikia uwanja
wa Etihad na walikuwa wanakaribia ushindi walpokuwa
kifua mbele kqwa 2-0.
Lakini mlinzi wa Leicester Okazaki aliipatia klabu yake bao
zuri baada ya kuvamia ngome ya Manchester City.
Mabao ya City yalifungwa na de Jesus kwa mkwaju wa
penalti na Silva .

No comments