NEWS : VIDEO MPYA YA MSANII VINNY ROSTER DOLLA KIBAOO.

Katika habari ambazo bado zinaendeleya kuranda randa kwenye mitandao ya kijamii juu ya wana Muziki wa Burundi.

Nikwamba mwana Muziki wakizazi kipya anae ishi inchini Africa kusini maarufu kama VINNY ROSTER Alipost kwenye mtandao wake wa facebook kuwa tayari ivikaribuni ataiachiya Video yake mpya ambayo inasemekana anairikodi studio na itakuja na video.poa

Watu wengi inchini Burundi na inchi jirani wanaamini itakuwa ni video ya kimataifa kwakuwa msanii huu siku zote huwa anajifunza kuwafurahisha na kuwaridhisha mashabiki zake.

Hadi sasa msanii VINNY ROSTER tayari kaziachiya kazi 4 nzuri saana ambazo bado tutaziwajuza zaidi siku baada ya siku.

No comments