NEWS : NATASHA NA UJIO MPYA

Leo hiii Ijuma tano 17/05/2017 Pica za Mwana muziki wakike anaye fanya kazi yake ya muziki inchi Burundi NGENDABASHAKA Natasha Maarufu kama NATASHA LA BAMBA LA NAMBA Zilioneka kwenye mitao ya kijamii hii Leo.

Pica hizo zinaonyesha msanii huyo akiwa anatengeneza Video ya wimbo mmoja ambao hadi sasa jina lake halijawekwa hadharani.Video hiyo yamuonyesha Natasha Akiwa katika ubora wahali yajuu sana, chini ya Mkono wa producer mkali inchi Tanzania.

Kama ilivyo ada na kawaida ya Msanii huyu Natasha hupenda sanaa kuyaficha mambo yake nakuyadhihirisha yanapo kamilika, kama alivyo fanya Juzi kati katika video yake mpumya ya MURUNDIKAZI.

Wanao fwatiliya mambo ya mwana muziki huyu Natasha wanaeleza kuwa video hiii itakuwa katika Live yakimataifa zaidi.

No comments