News : STAR WA KUCH KUCH HOTA HAI, AFARIKI DUNIA.

Kuch kuch hota hai ni moja ya movie kali kutoka
Bollywood ambayo imekuwa ikipendwa sana na
wafuatiliaji wa filamu za kihindi hasa kutokana na uwepo
wa Waigizaji mastaa kama Shah Rukh Khan, Salman
Khan, Kajol na wengine.

Habari iliyotufikiya leo May 18, 2017 ni taarifa za kifo
cha mmoja wa Waigizaji wa filamu hiyo Reema Lagoo
ambaye amefariki mapema leo May 18, 2017 akiwa na
umri wa miaka 59 ambapo katika filamu ya Kuch kuchi
hota hai Reema Lagoo aliigiza kama mama wa Kajol
akitumia jina la Mrs. Sharma.

Miongoni mwa filamu zilizompatia umaarufu ni pamoja
na Kal Ho Naa Ho, Maine Pyar Kiya, Hum Aapke Hain
Koun…!, Hum Saath Saath Hain, Jis Desh Mein Gangaa
Rehta Hai na Vaastav.

TAZAMA PICHA ZAKE HAPA CHINI NI HUYO MAMA.

No comments