UKWAJU 257: ICUBURUNDI KAOWA BAADA YA KUKIMBIA MIMBA

Isaac Classic Bdi





Msanii wa Burundi Movie Ibrahim Ismael Ic'u Ic' maarufu kama ICUBURUNDI Mwanamemba wa Group la The Brothers Entertainment,

Kwa muujibu wa kipindi UKWAJU 257 cha CLASSIC FM, waliweza kufanya nae mahojiano kwa njia ya sim na kumuuliza kuhusiana na mahusiano yake na mwanadada au member wa group hilo THE BROTHERS Nick La Marty (PAMELA) Kuhusu habari zinazo zagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwadada huyo PAMELA Yuko na Ujauzito wa Msanii huyuyo wa Movie.





Alicho kijibu ICUBURUNDI Ndani ya kipindi hakikumridhisha hata kidogo mzazi mwenzake PAMELA , Na kuamuwa kufunguka na yeye pia Maneno makali mno. "KUSEMA KWELI HABARI HIZO NDO KWANZA NAZISKIYA KWENU KABISA KUWA PAMELA ANA MIMBA YANGU" Alisema  ICUBURUNDI. Aliendeleya kusema kuwa "PAMELA NA MMFAHAMU TU KAMA  MUIGIZAJI  WA GROUP LETU TU"





Baada ya Maneno hayo aliyo yasema ICUBURUNDI , Mwana dada PAMELA wala hakuweza kuvumiliya, Na yeye kaamuwa kufunguka Mazito Alipo sema " KWAKWELI NASHANGAZWA NA ANACO KISEMA ICUBURUNDI, NINACHO WEZA KUWAAMBIYA TU NI KWAMBA UJAUZITO HUYU NI WAKWAKE NA YEYE MWENYEWE ANAJUWA INGAWAJE ANAKATAA MACHONI MWAWATU" Alisema PAMELA , Na Aliendeleya kusema kwamba "NAKUHUUSU HAO WANAO SEMA KUWA MIMI NIMEZUWA MIMBA HII ILI NIMUHARIBIYE NDOWA YAKE ICUBURUNDI , KWAKWELI WAKITAKA WAKAE ZAO KIMNYA MAANA HAWAJUWI PAZIYA ILIYOKO HAPA KATI"






Ila habari tulizo zipata mda punde tu, nikwamba Msanii huyo ICUBURUNDI Aliweza kumwambiya Mtangazaji wa Wa CLASSIC FM Buba ZEHOT Kwa njiya ya sim kuwa , "MINAONA HAINA MAANA KURUSHIYANA MANENO KWENYE MEDIA, NIBORA TUSUBIRI MTOTO ATAKAPO ZALIWA ILI TUJUWE KWELI NI WANGU AO LAAA"




The BROTHERS Ent Ndani ya STAND BY :CLASSIC TV





No comments