Afrika kupewa nafasi 7 kombe la dunia 2026
Isaac Nyenamahigwe
Rais wa shirikisho la soka duniani Fifa Giani Infantino amesema kuwa Afrika itapewa nafasi 7 katika upanuzi wa timu zitakazoshiriki katika kombe la dunia 2026.
Infantino amesema kuwa shirikisho hilo limeongeza uwekezaji wake Afrika kutoka dola milioni 27 hadi 94 kwa mwaka ili kusaidia kukuza mchezo huo.
Giani Infantino yuko nchini Ghana kwa ziara ya siku moja.
Post a Comment