U HEARD: MKOMBOZI AKIRI KUWA ILLUMINATI ASIEKUWA NA MASHARTI
Kelvin Zehot
Msanii wa Burundi mwana Hip Hop anaeishi nchini Rwanda NZEYIMANA THOMAS (Mkombozi)
Ametueleza na ku tuhakikishia kuwa yeye ni ILLUMINATI
Hizi ninhabari ambazo hazina chenga ndani yake.
Katika mazungumzo aliokuwa akifanya na mimi ZEHOT asubuhi hii ya leo February 10, 2017 Saa 1:53 (7:53 am) baada ya kunambia kwamba yeye ni illuminati asiekuwa na masharti
Hivyo basi nilimuomba anileze kwa kina,
Na hiki ndicho alichoongea
ILLUMINATI
Ni mtu ambae anaangazia wenzake, mfano zamani kuongea na mtu wa ulaya ilikua ni tabu but now days ni kitu rahisi sana Mc Zubag wanakua kama illuminati ko wana illuminate wanakuangazia wewe inakua ni rahisi kuongea na demu wako wa ulaya kama vile yupo zake NYANZA-LAC
WhatsApp, Viber Nk...
wametuonesha dunia nyingine tilio stahili kuishi kwa mawasiliano bila usumbufu, Kuonana na mtu kwenye Skype kama vile mpo wote, mnachangia Birthday pamoja vitu kama hivyo..
Kwahio na mimi nae ni illumanati koz na creat another fikra koz naweza nikaongea kitu ambacho kinaweza kukufunguwa wewe unaona dunia mpya unasema heee! kumbe mimi ningestahili kuwa kama hivi, huyu jamaa kongea.
All of us ni illuminati utofauti unakua ni kwenye malengo sasa kuna wale wanaokuwa na alengo ya kupotosha wana agender zao za siri MF: Wanao jiita ma Globals, wasimamizi wa ma bank Nk... Wao waajua ni kipi wanacho faidi humo hizo ni siri zao siwezi ku ziingia sana.
Alimalizia kwa kusema
Kuna wengine wanaofungua watu kwamba mungu aliumba dunia watu tuishije.
Mimi niko upande huu ambao unakufungua wewe uone mungu anataka watu tuishije.
Alisema MKOMBOZI.
Post a Comment