Rihanna amfikia Michael Jackson kwa nyimbo Marekani.

Classic News




Rihanna amempiku Michael Jackson katika kuwa na nyimbo katika chati ya nyimbo kumi bora nchini Marekani.
Hii ni baada ya wimbo wake mpya wa Love on the Brain kuingia kwenye orodha hiyo.
Wimbo huo ni wake wa 30 kuwa kwenye chati hiyo, na sasa ameachwa nyuma na The Beatles na Madonna pekee.
Madonna ana nyimbo 38 zilizowahi kuwa kwenye chati hiyo. The Beatles wana nyimbo 34.

No comments