Franck Ribery nje ya uwanja kisa PAJA
Isaac classic
Mchezaji mashuhuri wa Bayern Munich
Franck Ribery
33, atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili
kutokana na jeraha la paja, Timu ilitangaza katika
taarifa rasmi siku ya Jumanne (juzi).
Mchezaji huyo raia wa Ufaransa atakosa mechi
zijazo za Bundesliga dhidi ya Schalke na
Ingolstadt kama vile Kombe la Ujerumani dhidi ya
Wolfsburg.
Post a Comment