DJ PRO AMKANA MTOTO WAKE (DAMU YAKE)
Yule mwana Hip Hop Mahiri Dj Pro Anae hit kwa wimbo NIMERUDI, amkana hadharani mtoto wake BRIYAN.
Kwa muujibu wa kipindi cha UKWAJU 257 cha CLASSIC FM cha ijumaa pili tareh 29 January, 2017, Raper huyo alipokuwa akihojiana na Ukwaju Team 257 alipo ulizwa kuwa hana mtoto yeyote nje ya ndoa au baada alijibu kuwa hana michepuko.
UKWAJU TEAM 257 hawatakagi UMBEYAAAAAAAA!!!! team hio ya Wambeya katika utafutaji wao wa habari ghafla Bin vuuuuuup wameanguka mikononi mwa mwanadada BELINDA
Huyu Ni mwanadada BELINDA ambae alie mzalia raper Dj Pro mtoto ( First Born) a baby boy mwaka 2012 kwa muujibu wake mwenyeweeeeee.
"NILIZAA NA DJ PRO MTOTO WA KIUME AMBAE NI BRIYAN, ILA WAZAZI WAKE HAWAJATAKA NIWE NAE, WAKAMUOWEA MWANAMKE MWINGINE, KINACHO NIKERA NI KWAMBA DJ PRO HAJAWAHI KUJA KUMCHUNGULIA HATA JAPO KIDOGO MWANAE MIAKA NI TANO SASA, WALA KUMSAIDIA HATA SENTI MOJA" alisema Belinda.

Huyu Ndie mtoto ambae amepata BAHATI MBAYA ya ku kanwa na babae mzazi ambae ni Dj Pro,
"BRIYAN SIMJUI, BELINDA SIMFAHAM, KWANI WATU HUNIZUSHIA MIMBA HATA SIELEWI, WATOTO WA KUPEWA SASA NI KAMA WATOTO 7" alisema Dj Pro.
SIKILIZA: NIMERUDI BY DJ PRO
Post a Comment