MSAADA ALIOTOA MSANII NATASHA LABAMBA KWA WAZEE 100 NA ZAIDI
Zehot Kelvin
Katika ku sherehekea siku kuu ya wanawake duniani, msanii wa kike Natasha LABAMBA ameungana na ma 100 ya watu siku ya jana tarehe 9 mwezi machi 2017 tarafani kwao alipo zaliwa KINAMA na Kuweza kutoa msaada kwa wazee wajane wasiojiweza.
Lakini pia hakuishia hapo, Natasha na Band lake CLUB BAND waliweza ku tumbwiza mkito wa maana na akili na ku acha watu wote tarafani humo midomo wazi kwa furaha kama mnavyo ona pichani.
Alipo pata nafasi ya kuongea na Medias tofauti tukiwemo CLASSIC FM, msanii huyo ameongea nini khaswa kilicho sababisha kufikiria hivyo: "Leo tunasherehekea siku kuu ya wanawake duniani, niliona sio vema kufanya festival pekee yake(festival of femals singers)
Nikaona itakua njema kutoa msaada kwa mama zetu na bibi zetu wasio jiweza, na kila mmoja aliweza kupata kitenge, mchele, maharage, safuria na sabuni" alisema natasha.
Aliendelea kusema
"Nilivyo anza festival na mpaka sasa itaendelea kila mwaka, na hatua hii pia itakua hivyo kila mwaka mwenyezimungu atujaalie."

Alimalizia kwa kusema: " Project inayofuata baada ya hapa ni kufanya video ya wimbo wangu mpya itakayo wajia hivi karibuni."
Post a Comment