ALINDI LINDA AMEWASILI BUJUMBURA

Kelvin Zehot



Alindi Linda, ni msanii kutoka nchini KENYA kwenye BAINO BAND, ambae ni mke wa msanii mburundi anae ishi nchini Kenya (BAINO), tayari wame wasili jijini Bujumbura, kwaajili ya ku tumbwiza katiaka tamasha litakalo fanyika ndani ya mjengo wa dhahabu HOTEL CLUB DU LAC TANGANYIKA tarehe 11, mar, 2016. FESTIVAL DE LA CHANSON FEMINE (Fesival of femal singers)

Kwa muujibu wa msanii huyo wakike alisema : " this is my first time nafika Burundi, and i was filling great nilipo pata invitation hii, even though nimeolewa na mburundi, na waburundi wakae mkao wa kula kupoke many things..."

Msanii NATASHA ameulizwa kipi kilichosababisha kumfocus msanii huyo wa kike wakati wapo wengi tu maarufu zaidi yake? amejibu yafuatayo: " MIMI NA TEAM LANGU TUMEKAA NA KU FIKIRIA NI NANI ANAE WEZA KUJA ZAMU HII, WENGI WAMEPENDEKEZA MSANII HUYO LINDA"

Natasha aliweza kutoa orodha ya wasanii watakao hudhuria siku hio, ambao ni:

Shany queen
Thyti love
Natasha
Lina Nk...

Queen wa siku hio atakua ni Miss Burundi 2016-2017 ANGEL BERNISE.

Surprise nzito yaandaliwa kwa wale watakao hudhuria tamasha hilo.

No comments