News: DARASA LIVE IN BURUNDI

Kelvin Zehot




Baada ya B-face na Rally joe kwenda nchini Tanzania na kuweza kurikodi nyimbo tano tofauti katika studio mbili tofauti ambazo ni WCB na T-touch ukiwemo wimbo ambao wamerikodi na msanii wa Bongo flavor anaetamba kwa wimbo wa MAISHA NA MUZIKI (Darasa).





 

Sasa ni zamu ya DARASA kuja nchini Burundi, ambapo ujio wake upo dhahiri.

Management ya wasanii B-face na Rally joe ambayo ni TREIBEKA HILL TOP TEN inawasogezea bonge la tamasha ambalo nahisi sio la kumiss au ku ngoja usimuliwe.


Ni tareh 08 april 2017
Venue : SCHEPPERS NYAKABIGA.


                       VIDEO: La difference by B-face

 

No comments