SOCCER: Chelsea yamlamba Man Utd 2-0 Kombe la FA


Buba Kelvin Zehot


Mabingwa watetezi wa Kombe la FA Manchester United wamefungwa magoli 2-0 na Chelsea katika nusu fainali iliyochezwa Stamford Bridge.









Bao pekee la ushindi kwa Chelsea lilifungwa na N'Golo Kante kwa mkwaju mkali katika dakika ya 51. Manchester United walicheza kwa kipindi kirefu wakiwa mchezaji mmoja pungufu baada ya Ander Herera kuoneshwa kadi mbili za manjano katika dakika ya 35.


No comments