News Soka : CRISTIAN RONALDO ASHTAKIWA.

Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Umma katika Madrid
hivi leo (Jumanne) imemfungulia mashtaka mchezaji
mashuhuri wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo
udanganyifu wa kodi kwa jumla ya milioni 14.7. za euro.

Ronaldo ameshtakiwa kwa "uhalifu dhidi ya Hazina ya
Taifa kati ya mwaka wa 2011 na 2014, ambayo inahusisha
kodi ya udanganyifu wa millioni 14,768,897 euro, (milioni
16.5 Dola za Marekani," Wakili wa Serikali alisema katika
taarifa.

No comments