News: HATIMAE NATACHA ACHIZIKA

Jana Tarehe 13 Juni mwaka 2017 Mida ya asubuhi akizungumza na Waandishi wahabari katika mkutano wa waandishi habari waliofanyanya na televisheni ya taifa RTNB ili kuiandaa rasmi mashindano ya Muziki Yaliyo andaliwa na Televisheni hiyo.

Mwanamuziki wakike Maarufu kama Natacha NGENDABANKA , Aliweza kutamka kuwa yeye Nimsazi , Ni baada ya watangazaji kumuomba azungumze japo neno moja kwakuchaguliwa kuwa Balozi wamashindano hayo.

"Sina mengi ya kusema isipokuwa kuwaomba mashabiki zangu kuitikia with wa Show siku ya fainali ya mashindano hayo, Nadhani mnafaham fika kuwa Mimi Ni CHIZI nikiwa kwenye jukwaa naimba"

Alisema Natasha.

Maneno haya Aliyoyasema Natacha, yalionesha ni kiasi gani msanii huu anavyojikubali na kujihami.

Tuwakumbushe kuwa siku ya EID EL FITR Natasha atakuwepo kwenye Show kubwa  itakayo fanyika maeneo ya Black and White Kiingilio Ni 3000 pesa ya Burundi. Huku akidondosha Muziki wake mpya GERAGEZA.

No comments