SAT B & EMERY SUN BIFU KUBWA LAIBUKA
Baada ya Natasha na Ashley Diva
Now It's Sat B na Emery sun
Bifu kubwa linalo vunja headlines Kibao Nchini BURUNDI, Na gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Ni baada ya Emery sun siku ya jana ku kana kumfaham Msanii King Satura au Sat B live kwenye Media.
Jambo ambalo limestaajabisha na ku waacha mashabiki mdomo wazi
Emery sun na Sat B hapo awali walikua ni marafiki wa karibu mpaka wakafanya collaboration kwenye wimbo uitwao BABONAKURE
Ila tukirudisha akili nyuma siku chache zilizo pita King Satura au Sat B aliweza kuongea maneno machafu na ya dharahu kwenye Media Live kwamba akikutana na EMERY SUN, FABI LOVE NA AKES THE DON atawajambia
Jambo Ambalo mashabiki wake na mashabiki wa muziki wa HOME FLAVOR hawajafurahishwa nalo.
Kwako wewe kama mpenzi wa Muziki wa Home flavor una maoni gani?
Post a Comment