Picha 6 Ambazo ukiviona hivi vitu kama upo nje ya BURUNDI lazima upamiss tena

Kelvin Zehot
  


Hivi ni vitu ambavyo ukiviona kama upo nje ya nchi ya BURUNDI lazima utapamiss Nyumbani kama wewe ni Murundi.
1- BURUNDI NGOMA
2-  MUKEKE
3- AGASIMBO DANCE
4- IGISEKE 
5- DANCE AGASIMBO
6- DANCE AMAYAYA
                                           1. BURUNDI NGOMA


Hii  ni Ngoma ya tamaduni maarufu kama BURUNDI NGOMA
Ni ngoma ya kipekee inayo tuthaminisha kote ulimwenguni


2. MUKEKE


Ni samaki wa kipekee anae patikana ndani ya ziwa TANGANYIKA
na ziwa hilo lipo nchi tatu (3) tu ikiwemo BURUNDI


3. IGISABO
Ni chombo cha kitamaduni ambacho kinasaidi ku wekea maziwa baada ya kumkamua ng'ombe.
Chombo hiko kinapatikana nchi mbili (2) tu ikiwemo BURUNDI


4. IGISEKE



Ni kitunga cha ki tamaduni cha ki aina yake ambacho hutumiwa kwa kumfungashia mgeni takrima,
kinapatikana nchi mbili (2) tu ikiwwemo BURUNDI


5. DANCE AGASIMBO




Ni mchezo wa ki tamaduni wa kipekee ambao unaothaminisha nchi ya BURUNDI khaswa nchi za nje bara zote.

6. DANCE AMAYAYA

   

Ni mchezo wa ki tamaduni wa kipekee unaopatikana nchini BURUNDI
densi ya amayaya inachezwa kwa maringo huku ukitabasam...




BURUNDI nchi yangu tazama uzuri wako, hata haufanani na udogo wako, thamani yako hakuna aijuae isipokuwa UMURUNDI.


NAJIVUNIA  KUWA UMURUNDI, NAIPENDA NCHI YANGU.





BURUNDI BWACU IMANA YAKUDUHAYE IKADUTUNGIRA


TAZAMA HII VIDEO YA NCHI YA BURUNDI

No comments