News: DJ PRO UJIO MPYA

Isaac Classic


Baada ya NIMERUDI NYUMBANI, Msanii wa kizazi kipya RAMADHAN HASSAN Maarufu kama DJ PRO Sasa aja kivingine kabisa na ujio mpya.

Msanii Huyo usiku wa jana IJUMA NNE 25/04/2017 Ameamuwa kuachiya wimbo mpya wa kiaina yake kwajina la MIRANDA, Ambapo hadi sasa hajasema nini maaana Ya Tittle ya wimbo huo.

Take your time umtupie skiyooooo

https://youtu.be/GfN0D5iXumo

No comments