B-BRIGHT: ASHLEY DIVA NA IRY TINA NDIO LADHA YANGU






Kwa muujibu wa kipindi XXL The Big Size cha Classic Fm.



Msanii huyo mkali wa melody B-bright aliweza kufunguka na kisema kuwa ASHLEY DIVA na IRY TINA ndio ma celeb pekee ambao ikitokea aambiwe kuchagua kati ya wengi ili ku spend nao weekend na ku reflesh mind.


B-bright aliendelea kumwagika kwamba kuna project inayokuja baada ya My valentine na Kisogo, ila tulipo muuliza vipi kuhusu videos alijibu kuwa suala hilo lipo chini ya Management yake ya ZENGE BOYS.





















No comments