Utapiamlo nchini Nigeria



Kutokana na vurugu ya wachezaji katika uwanja
wa Etihad wakati wa mechi ya premia ligi kati ya
Chelsea na Mancity, Klabu ya Chelsea imepigwa
faini ya £100,000 na ManCity vile vile faini ya
£35,000.
Hisia zilipanda na wachezaji wakaanza
kukabiliana mechi hiyo ilipokaribia kumalizika
baada ya Sergio Aguero wa City kufukuzwa
uwanjani kwa kumchezea visivyo beki wa
Chelsea David Luiz.
Fernandinho wa Man City pia alifukuzwa uwanjani
kwa kumkaba koo Cesc Fabregas wa Chelsea.
Chelsea walishinda 3-1.
Chelsea imepigwa faini mara sita tangu Februari
2015 kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji.

No comments