News : ASHLEY DIVA NA SAT- B KUMBE ILIKUWA KIKI?



Msaniii Star Wa Kike Wa Muziki wa +257 ASHLEY DIVA Leo hiii Alhamisi majira ya Saa tatu asubuhi majira ya Bujumbura 09h Ndipo aliwasili  tena inchini Burundi  baaada ya mda mrefu kuwa akifanyiya kazi zake za Muziki Inchini Ouganda.
DIVA katika mahonjiyano na watangazaji Wa Habari Iliyofanyika Katika mjengo wa Star Hotel Watangazaji waliweza kumuuliza swali mengi , Miongoni mwa maswali aliweza kuulizwa Juu Ya Habari Zilizo tapaaakaaga kwenye mitandao ya kijamii  Kuwa Diva anatoka kumahusiyano na Nyota msanii SAT-B,
zikivumishwa na Hao hao wa sanii kwa Kupost kwenye mitandao yao yakijamiii.
Leo hii Diva Amefunguka wazi kabisa kuwa Hatoki na Msanii Mwenziye Sat b na Kuwa ilikuwa ni mambo tu waliamuwaga kuyafanya vile vile.
"Sikweli , sitoki Kimapenzi na Sat-b na Ukweli nikwamba nina mmpenzi wangu ninaye kiukweli" Alisema : DIVA.

Ilikuwa Kiki ao? Majibu Unayo ndugu msomaji na Utowe Maoni yako hapo.

No comments